
Hizi ni Changamoto tu za wakati wa kampeni kata ya Mandera

Kata ya Pera.

Kata ya Bwilingu

Kata ya Lugoba

Mkoa wa Vyuo Vikuu bega kwa bega katika kufanikisha ushindi kwa CCM Chalinze

Kila mwenye uwezo wa kucheza alicheza siku ya ufunguzi wa kampeni.

CCM kushinda Chalinze kwa aina yake ya Kampeni ya kistaarabu. Mgombea wake aonekana kuyajua matatizo ya wananchi vizuri na majibu ya matatizo yao.
Ridhiwani ajinadi kwa sera safi za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. Tangia ameanza Kampeni hajawahi hata siku moja kuzungumzia upinzani, ametumia muda mwingi kuzungumzia maendeleo ya Jimbo la Chalinze. Viongozi mbalimbali wa CCM na Jumuiya zake waja kumuunga mkono Chalinze. Tofauti na wagombea wa Vyama vingine Ridhiwani ameweza kufika kila kata ,kijiji kwa kijiji kitongoji kwa kitongoji.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)