Burudani Ikiendelea katika Ukumbi wa East 24 Muda huu wakati wa kilele cha Sherehe ya Kutimiza Miaka 3 ya Bongo Movie.
Adam Kuambiana Akisoma maoni na pongezi kutoka kwa wadau wa filamu Tanzania waliyoyatoa kupitia mitandao ya kijamii kwenye kurasa za bongo movie
Wadau wakiendelea kufuatilia burudani inayotolewa na FM Academia muda huu
Endelea Kuwa nasi Picha Zaidi zitakujia Soon.....





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)