BAKHRESA AKABIDHIWA MALORI NANE AINA YA FUSO ALIYONUNUA KUTOKA KAMPUNI YA DIAMOND MOTORS LIMITED, WAUZAJI WA MAGARI AINA YA MITSUBISHI NA FUSO. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BAKHRESA AKABIDHIWA MALORI NANE AINA YA FUSO ALIYONUNUA KUTOKA KAMPUNI YA DIAMOND MOTORS LIMITED, WAUZAJI WA MAGARI AINA YA MITSUBISHI NA FUSO.

Mkurugenzi Mkuu Wa Kampuni ya Diamond Motors Limited, Bw VikramVerma (kulia) akimkabidhi funguo ya gari aina ya Fuso FI Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Bakhresa, Bw Omar Said mara baada ya kampuni ya Bakhresa kununua fuso mpya nane kutoka kampuni ya Diamond Motors Limited.
Meneja Biashara wa Kampuni ya Bakhresa, Bw Ahmed Aziz akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa magari waliyonunua kutoka Kampuni ya Diamond Motors Limited.
 
 Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Bakhresa, Bw Omar Said akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Diamond Motors Limited, Bw VikramVerma kama ishara ya kushukuru mara baada ya kupokea Magari Mapya nane aina ya Fuso yaliyonunuliwa na kampuni ya Bakhresa kutoka Kampuni ya Diamond Motors Limited
Fuso Mpya nane ambazo zimenunuliwa na Kampuni ya Bakhresa kutoka Diamond Motors Limited

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages