VIJANA NA PREMIER BETTING. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VIJANA NA PREMIER BETTING.

Katika Pitapita zangu mitaa ya nyumbani nikakutana na vijana hawa wakiwa bize wanaangalia karatasi lenye ratiba ya mechi za mpira wa miguu tayari kwa vijana hao kubashiri a.k.a kubet. Mchezo huu wa Kubashiri umetokea kushika kasi sana nchini Hususani Jiji la Dar na kupendwa na vijana wengi wa kitanzania ambapo imekuwa ni moja ya nafasi ya vijana hao pamoja na watu wazima kujipatia kipato kwa kubashiri baadhi ya mechi na endapo wakipatia basi mifuko hucheka kwa kupokea mkwanja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages