Wakina Mama ambao majina yao hayakuweza kupatikana haraka wakiwa wanasukuma mkokoteni uliosheheni mzigo wa kuni kwaajili ya matumizi ya nyumbani kama walivyokutwa na mpiga picha wetu hivi karibu katika barabara ya bombo mjini Tanga, Matumizi ya Kuni yanaonekana kushamiri sana Mjini Tanga.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)