Rais Kikwete akutana na Mhifadhi wa Sokwe Dkt.Jane Goodall - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete akutana na Mhifadhi wa Sokwe Dkt.Jane Goodall

Rais  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza mhifadhi wa Sokwe wa kimataifa  Dkt.Jane Goodall wakati mhifadhi huyo alipomtembelea Rais Ikulu na  kumwelezea kazi zake mbalimbali za uhifadhi nchini.Dkt.Goodall
anajihusisha na uhifadhi wa Sokwe katika hifadhi ya Gombe mkoani Kigoma
na kazi yake imeipatia Tanzania umaarufu mkubwa Duniani.Dkt. Goodall ni
mwanzilishi wa taasisi ya Jane Goodall Institute inayojihusisha na
uhifadhi wa Sokwe. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages