MWIGULU NCHEMBA AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KALENGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWIGULU NCHEMBA AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KALENGA

1ANaib Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Mwigulu Nchemba akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Ifunda mkoani Iringa, ambapo CCM ilizindua rasmi kampeni katika jimbo la Kalenga wakimnadi mgombea wao kwa tiketi ya chama hicho Bw. Godfrey Mgimwa na kuwaasa wanakalenga kumchagua Godfrey Mgimwa kwani ni mwakilishi wao kamili kutokana na kwamba ilani inayotekelezwa mpaka mwaka 2015 ni ya Cmaha cha Mapinduzi hivyo Mgimwa ataisimamia vyema na kukimalizia kipindi cha miezi ishirini iliyobaki kwa maendeleo ya wanakalenga. Mwigulu akimnadi Geofrey Mgimwa leo(1)Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Gedfrey Mgimwa, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini. (Picha na Bashir Nkoromo)
2Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba na mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa wakifurahia jambo kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika kata ya Ifunda,kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu. 2AKamanda wa vijana ccm Iringa Salim Abri Asas Abri kulia akiwa na mmoja wa makada wa CCM Said Rubeya katika mkutano huo. 3Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba akisisitiza jambo katika mkutano huo. 4Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba na mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa wakiteta jambo kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika kata ya Ifunda 5Chifu wa Wahehe, Abdul Mkwawa (kushoto) akiwahutubia wananchi katika Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM katika Kata ya Ifunda, mkoani 7 11Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu. akiwahutubia wananchi katika kata ya Ifunda wakati wa uzinduzi wa kampeni jimboni humo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-IFUNDA)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages