
Toleo jipya la Fuso aina ya FI lenye uwezo wa kubeba tani 12

Toleo jipya la Fuso aina ya FJ ikiwa kwenye muundo wa tipper lenye uwezo wa kubeba tani 25 maalum kwa ajili ya sekta ya ujenzi na uchimbaji wa madini

Aina mbalimbali za Fuso zilizoingia nchini tayari kutoa suluhisho na Changamoto za kimaendeleo hapa nchini.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)