Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea jambo kwa wafanyakazi wa TCRA walioambatana na familia zao katika siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wa TCRA Juhudi Ngozi Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa Family Day iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo .Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao katika Family Day iliyofanyika katika Hotel ya Livingstoni Wilayani Bagamoyo
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi Kuku David Mapunda, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kukimbia na gunia wakati wa siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki Eng. Oscar Mwanjesa, akimkabidhi Zainabu Sadiki kuku baada ya kuibuka mshindi wa shindano la kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Bagamoyo.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo.
Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)