BASI LA BUNDA LAGONGA GARI MOSHI ENEO LA MANYONI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BASI LA BUNDA LAGONGA GARI MOSHI ENEO LA MANYONI

Basi la Bunda Express likiwa eneo la ajali Manyoni, Singida.
Basi la Bunda Express likitokea Dodoma-Mwanza, limegongana na treni eneo la Manyoni ambapo inadaiwa watu wanne wamepoteza maisha. Majeruhi tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.Credit GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages