TASWIRA ZA WANANCHI WA DAR ES SALAAM WALIPOJITOKEZA KUSHUHUDIA BOMU LA KUTUPWA KWA MKONO KATIKA BARABARA YA SHEKILANGO NA MOROGORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA WANANCHI WA DAR ES SALAAM WALIPOJITOKEZA KUSHUHUDIA BOMU LA KUTUPWA KWA MKONO KATIKA BARABARA YA SHEKILANGO NA MOROGORO

 Watu wakishangaa katika eneo la tukio.
Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam jana.
 Polisi waliimarisha ulinzi katika eneo hilo. 
 Polisi wakichimbua chini kutoa bomu lililokuwa limefukiwa chini.
 Polisi wakiweka  uzio leo katika makutano ya Barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam, baada ya kugundulika kuwepo kwa bomu katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages