SAIDI MBELWA ALIPIZA KISASI KWA K,O RAUNDI YA 5 ALIYOPIGWA KWA POINT NA AMBOKILE CHUSA 2010 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SAIDI MBELWA ALIPIZA KISASI KWA K,O RAUNDI YA 5 ALIYOPIGWA KWA POINT NA AMBOKILE CHUSA 2010


Bondia Said Mbelwa  kushoto akimchachavya Amokile Chusa wakati wa mpambano wao wa kufungua mwaka Mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya tano mwaka 2010 mbelwa alipigwa kwa pointi na Chusa hivyo kulipiza kisasa kwa K,O ya raundi ya tano 
Mabondia Ambokile Chusa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Saidi Mbelwa wakati wa mpambano wao wa kushelekea mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Zulu Paredaise pugu kirumba mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya tano hii ni mara ya pili kukutana ambapo mara ya kwanza mwaka 2010 mbelwa alipigwa kwa pointi na chusa 
Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wakutupiana makonde na Shabani Mtengela wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka 2014 uliofanyika katika ukumbi wa zulu paraies pugu kirumba Mchanjo alishinda kwa pointi 
Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akimshambulia kwa makonde Shabani Mtengela wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka 2014 uliofanyika katika ukumbi wa zulu paraies pugu kirumba Mchanjo alishinda kwa pointi 
Bondia Shabani Mtengela akiwa chini oi baada ya kupewa konde zito na TWARIBU MCHANJO WAKATI WA MPAMBANO WAO PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages