RAIS KIKWETE APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR LEO

  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akihutubia baada ya  kupokea maandamano ya  watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya  kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi  Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo  January 5, 2014.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua Brass Band ya  Chipukizi kabla ya  kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi  Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo  January 5, 2014. 
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wana UVCCM baada ya  kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu  ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5,  2014.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Mwenyekiwa CCM (Visiwani) na Rais wa Zanzibar  Dkt Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine wakiimba wimbo  wa mashujaa wakati wa  ya kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara  mjini Zanzibar leo January 5, 2014.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages