NEWS ALERT:MTU MMOJA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO KWENYE MACHIMBO YA TARATI ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NEWS ALERT:MTU MMOJA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO KWENYE MACHIMBO YA TARATI ARUSHA



Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya,baada ya kufunikwa na udongo katika mgodi wa machimbo ya kokoto ya Terati jijini Arusha walipokuwa wanafanya kazi ya kuchimba kokoto.Serikali ya kata ya Terati yasema machimbo hayo yanaendeshwa kinyume na taratibu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages