MATOKEO RAUNDI YA 3 KOMBE LA FA: LIVERPOOL, CHELSEA ZAPETA, MAN UTD HOI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MATOKEO RAUNDI YA 3 KOMBE LA FA: LIVERPOOL, CHELSEA ZAPETA, MAN UTD HOI

Wilfried Bony wa Swansea baada ya kufunga bao la pili na la ushindi dhidi ya Manchester United.
 Mchezaji wa Manchester United, Danny Welbeck, akiwa kichwa chini miguu juu wakati wa mtanange huo uliomalizika kwa Swansea kushinda 2-1.
Manchester United 1-2 Swansea City
Liverpool 2 - 0 Oldham Athletic
Derby County 0 - 2 Chelsea
Sunderland 3 - 1 Carlisle United
Nottingham Forest 5 - 0 West Ham United

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages