MAN UNITED YAVURUGWA TENA, YAFUMULIWA 2-1 NA SPURS, ARSENAL, MAN CITY, CHELSEA, LIVERPOOL MWENDO MDUNDO EPL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAN UNITED YAVURUGWA TENA, YAFUMULIWA 2-1 NA SPURS, ARSENAL, MAN CITY, CHELSEA, LIVERPOOL MWENDO MDUNDO EPL

In form: Adebayor (left) has scored four goals in five games since Tim Sherwood took over as managerYupo kwenye kiwango: Adebayor (kushoto) amefunga mabao matano mpaka sasa katika mchezo mitano tangu Tim Sherwood apewe mikoba ya kocha aliyetimuliwa AVB
Doubling up: Eriksen's header leaves De Gea stranded at Old Trafford as Tottenham edge further in frontLa pili: Eriksen akifunga kwa kichwa bao la pili  na kumwacha kipa wa Man United De Gea akiambulia manyoya katika uwanja wa  Old Trafford
Down and out? Manchester United prepare to take kick off after conceding the second goalEbwana daaah! mwaka majanga? Manchester United wakijiandaa kuanzisha mpira baada ya kufungwa bao la pili.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages