Hapa Panaitwa Mbugano Ni moja ya Center katika Kata ya Buyango iliyopo Katika Wilaya ya Misenye Mkoani Kagera, Hapo pia ni njia panda ya Kuelekea Ruzinga
Hii ni moja ya barabara inayoelekea Mgana Katika Kata ya Bwanjai Ambapo kuna Hospitali ya Mgana, barabara hiyo inatokea Kwenye hiyo center ya Mbugano
Hii ni barabara ya kuelekea Kwa kina sie
Hii ni Barabara inayoelekea Kwenye Kijiji kinachoitwa Nyakihanga na Rwamachu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)