Wanafunzi waongoza washindi wa Pambika na Samsung Droo ya Tano - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wanafunzi waongoza washindi wa Pambika na Samsung Droo ya Tano

 Mshindi wa Luninga ya LED 32’ katika droo ya tano ya Pambika na Samsung Bw. Abbas Murtaza akipokea zawadi yake toka kwa Meneja wa Samsung Tanzania Bidhaa za Majumbani Bw. Raghu shetty katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa baadhi ya washindi kutoka Dar es salaam iliyofanyika katika duka la Samsung Kariakoo.
 Meneja wa Samsung Tanzania Bidhaa za Majumbani Bw. Raghu shetty akikabidhi zawadi kwa mmoja ya washindi wa deki ya DVD Bi. Sophia Abel mkazi wa Dar es salaam. Jumla ya washindi 15 wamepatikana katika droo ya tano ya Pambika na Samsung kutoka mikoa ya Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Morogoro, Dodoma na Kilimanjaro.
Baadhi ya washindi wa wiki ya tano ya promosheni ya Pambika na Samsung wakiwa katika picha ya pamoja. Kushoto ni Msimamizi kutoka kushoto ni Msimamizi toka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha pamoja Bw. Hemedy Abdallah, wa pili kushoto ni Bw. Sylvester Manyara Meneja Mauzo na Usambazaji wa Pimbika na Samsung Bw. Sylvester Manyara na kulia ni Meneja Bidhaa za Majumbani Samsung Tanzania Bw. Raghu shetty.  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages