VITA VYA PANZI FURAHA KWA KUNGURU.... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VITA VYA PANZI FURAHA KWA KUNGURU....

 Kondakta wa daladala linalofanya kazi Tabata Segerea - Mnazi Mmoja akiipiga sopu sopu gari yake katika dimbwi la maji ya mvua yaliyotuama katika kituo cha Daladala Cha Segerea Mwisho hapo jana mara baada ya Mvua kubwa kuacha kunyesha. Hali hii inachukuliwa sawa na Vita Vya Panzi na Kuwa ni furaha kwa Kunguru.

Bila Wasiwasi Kitu kikipigwa sopu sopu hapo  hii ni sawa na vita vya Panzi basi ni furaha kwa kunguru we unalaumu kwanini mvua inanyesha wengine wanafurahia kwasababu wanabana matumizi..

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages