Ujumbe wa Wataalam kutoka Jimbo la Nanjing China wakutana na Rais Shein wa Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ujumbe wa Wataalam kutoka Jimbo la Nanjing China wakutana na Rais Shein wa Zanzibar

A1991 
Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa Wataalam kutoka  Idara ya Afya ya Jimbo la Nanjing,nchini China,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,wakiongozwa na Kiongozi wao Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Afya Wang Hua,(wa pili kulia).A2015
Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha na Ujumbe wa Wataalam kutoka  Idara ya Afya ya Jimbo la Nanjing,nchini China,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi.[Picha na REamadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages