UJENZI WA DARAJA LA TABATA SEGEREA - KINYEREZI WAENDELEA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UJENZI WA DARAJA LA TABATA SEGEREA - KINYEREZI WAENDELEA

Pichani ni Daraja linalounganisha Tabata Segerea na Kinyerezi ambapo ujenzi wake ukiendelea kama ambavyo picha inaonyesha Daraja Hilo Limefika kwenye hatua nzuri sana ambapo ujenzi huo ukimalizika basi itakuwa ni furaha kwa wakazi wa Kinyerezi na Tabata kwa ujumla pamoja na watumiaji wa barabara ya Kuelekea Majumba Sita Kwani Litakuwa limeondoa hadha ya kutumia barabara hiyo kipindi Mvua ikinyesha na Kupelekea barabara hiyo kutokupitika

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages