Pambika na Samsung yamzawadia Mkazi wa Dar es salaam Mashine ya Kufulia Nguo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Pambika na Samsung yamzawadia Mkazi wa Dar es salaam Mashine ya Kufulia Nguo

 Meneja wa Samsung Tanzania Bw Kishor Kumar (kushot) akikabidhi zawadi ya Mashine ya kufulia nguo kwa mshindi wa kwanza wa droo ya nne ya promosheni ya Pambika na Samsung Bw. Hasmin Karim katika hafla fupi ya kukabidhi zawadi iliyofanyika katika maegesho ya magari ya Quality Centre jijini Dar es salaam
 Mshindi wa  Bw. Athman Amir akipokea zawadi ya Luninga ya LED 32’ toka kwa Meneja wa Samsung Tanzania Bw. Kishor Kumar (kushoto) katika hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya nne ya promosheni ya Pambika na Samsung.
 Bw. Francis Mnyema (kulia) akipokea zawadi ya muziki wa nyumbani toka kwa Meneja wa Samsung Tanzania Bw Kishor Kumar katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya nne ya Pambika na Samsung.
Baadhi ya washindi wa Pambika na Samsung waliojitokeza leo kupokea zawadi zao wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Mauzo na Usambazaji wa Samsung Tanzania Bw Sylvester Manyara 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages