OFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MPANGO WA KUJIANDAA KUKABILI MAAFA MKOANI SHINYANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

OFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MPANGO WA KUJIANDAA KUKABILI MAAFA MKOANI SHINYANGA


Mwezeshaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa, Bi. Naima Mrisho  akifafanua utekelezaji wa Mpango Wa Kujiandaa Kukabili Maafa katika mkoa wa  Shinyanga, leo.
Baadhi ya Wawezeshaji wa mafunzo ya Mpango wa kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Shinyanga kutoka ofisi ya Waziri Mkuu- Idara ya Uratibu wa Maafa, wakifuatilia  mafunzo hayo yanayoendelea mkoani Shinyanga leo, (wa kwanza) ni Mhandisi, Fanuel  Karugendo na (wa pili) Mchumi, Magreth Sembuyagi. 
Baadhi ya Washiriki kutoka vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Shinyanga wakifuatilia mafunzo ya Mpango wa kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Shinyanga leo,  (wa kwanza) ni Kaimu Kamanda kikosi 516 KJ, Gabriel Nzunda na (wa pili) ni Mkuu wa  Polisi wa Wilaya Shinyanga, Richard Ngede.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages