Kwa taarifa nilizozisikia kupitia Kupitia TBC1 ni kwamba waziri wa Maliasili na Utalii Mh Hamis Kagasheki ametangaza kujiuzuru nyadhifa yake hiyo.
Tunaendelea kutafuta ukweli wa Swala hili na tutazidi kujuzana pale kadri tunapozipata taarifa
Chanzo : TBC1





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)