NEWS ALERT: BASI LA BURUDANI LILILOKUWA LINATOKA WILAYANI KOROGWE LIKIELEKEA DAR ES SALAAM LAPATA AJALI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

NEWS ALERT: BASI LA BURUDANI LILILOKUWA LINATOKA WILAYANI KOROGWE LIKIELEKEA DAR ES SALAAM LAPATA AJALI

Habari zilizotufikia hivi punde, basi la Burudani likiwa limejaza watu wengi kutoka wilayani Korogwe kuelekea Dar es Salaam, limepata ajali maeneo ya Michungwani, wilayani Handeni mkoani Tanga. Idadi kubwa ya vifo imetajwa katika basi hili. Kwa sasa watu wanatoa maiti na majeruhi wanakimbizwa hospitali ya Wilaya Korogwe, Magunga. Mwisho wa mwaka huu. Madereva kuweni makini jamani. Hali ni mbaya sana aisee. Mungu tunusuru na mabalaa ya barabarani. Picha na habari kamili zitawaijia hivi punde

CHANZO: HANDENI YETU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages