![]() |
| Kaimu Konseli Mkuu katika ubalozi mdogo wa Tanzania Dubai Ndugu Omar Mjenga amewakaribisha kupata mawazo yao jinsi ya kuongeza idadi ya watanzania katika shirika hilo la Ndege la Emirates. Wadau hao wameweka mikakati ambayo itawawezesha kufikia Machi 2014 kupata Watanzania zaidi kujiunga na Shirika hilo. |
-







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)