MDAU EMMANUEL JOHN ALAMBA NONDOZ YA USTAWI WA JAMII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MDAU EMMANUEL JOHN ALAMBA NONDOZ YA USTAWI WA JAMII

Mdau Emmanuel John akiwa mwenye furaha tele mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Ustawi wa Jamii (Degree of Social Work) katika chuo cha Taasisi ya Ustawi wa jamii, Kijitonyama kilichopo chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Emmanuel John pia ni Mjumbe wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke CCM.
 Emmanuel John akishangila kwa pamoja na wahitimu wengineo wa kitivo cha ustawi wa jamii mara baada ya mgeni rasmi kuwatunuku shahada zao. Jumla ya wahitimu 1,140 walihitimu mnamo Des 6, 2013.

 Emmanuel John akiwa pamoja na wahitimu wenzake katika matukio tofauti tofauti. Kuishi na watu vyema ni kipaji, baraka na siri ya mafanikio.

Mwisho wa siku Mdau Emmanuel John alienda kumuombea dua njema Baba yake Mzazi aitwaye John Stephen ambaye alitoa mchango mkubwa wa mali na mawazo mpaka akaweza kuhitimu shahada yake. Baba yake mzazi alifariki Dunia Julai 23, 2013 na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Wengineo kwenye picha ni Mama mzazi (kulia kwa Emmanuel) pamoja na familia nzima.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages