Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, afungua Kongamano la kitaifa la Ajira Afrika leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, afungua Kongamano la kitaifa la Ajira Afrika leo


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam leo Disemba 5,2013.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la kitaifa la Ajira barani Afrika wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua Kongamano hilo leo Disemba 5,2013 katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalim Julius nyerere Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika mara baada ya kufungua kongamano hilo leo Disemba 5-2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka mara baada ya kufungua kongamano la kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam leo Disemba 5,2013. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages