Makamu wa Rais Dkt Bilal na Miaka 50 ya ushirikiano kati mya Tanzania na Sweden na uzinduzi wa kampeni ya kuzuwia Malaria ZINDUKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Makamu wa Rais Dkt Bilal na Miaka 50 ya ushirikiano kati mya Tanzania na Sweden na uzinduzi wa kampeni ya kuzuwia Malaria ZINDUKA

IMG_5749Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye hafla ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. IMG_5801Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye  uzinduzi wa Kampeni ya Kuzuia Malaria inayojulikana kama ‘M-Zinduka’ inayoendeshwa kwa pamoja kati ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom,  Tanzania House of Talents na Malaria  no more    (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages