MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ASAINI KITABU CHA KUMBUKUMBU KUFUATIA KIFO CHA MZEE MADIBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ASAINI KITABU CHA KUMBUKUMBU KUFUATIA KIFO CHA MZEE MADIBA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza kwenye ofisi ya Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kwenye Ofisi ya Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki  jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza kwenye ofisi ya Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.PICHA NA OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages