KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kushoto) na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa,kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kabla ya kipinda cha maswali kjwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Mbunge wa Viti Maalum, Martha Mlata (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Nkenge, Asumta Mshama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (kushoto) na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid, kwenye jengo a Utawala la Bunge Mjini Dodoma December 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 5, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages