Katibu CWT aibuka Kidedea kwenye Pambika na Samsung - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Katibu CWT aibuka Kidedea kwenye Pambika na Samsung

 Meneja wa Samsung Tanzania Bw. Kishor Kumar akimkabidhi zawadi ya Jokofu Bi. Bernadeta Peter mkazi wa Dar es salaam katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya tatu ya kila wiki wa promosheni inayoendelea ya Pambika na Samsung iliyofanyika katika eneo la kuegeshea magari la Quality Center, Dar es salaam.
 Mshindi wa zawadi ya Laptop katika droo ya tatu ya Pambika na Samsung Bw. Hamad Abdallah Hemed mkazi wa Dar es salaam akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa Samsung Tanzania Bw. Kishor Kumar wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya wiki hii.
 Bw. Abdallah Said Mshindi wa droo ya tatu ya Pambika na Samsung mkazi wa Dar es Salaam akipokea zawadi Ya Home Theater kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa Samsung Tanzania Bw. Kishor Kumar katika hfla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa droo ya tatu iliyofanyika jijini Dar es salaam
Washindi wa droo ya tatu ya Pambika na Samsung wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao katika hafla fupi ya kupokea zawadi hizo iliyofanyika Dar es salaam. Washindi wa wiki hii ni Issa Richard Moshi (23) moshi, Agnes John Mkalango (30) Dar es salaam, Kelvin Walter Nkya (29) na Abdallah Mohamed-Ally Gilamaly (50) wote kutoka Dar es salaam. Askari wa Jeshi la Polisi kutoka mkoani Dodoma Antonia Julius Masele (45), Mbeya, Abdallah Said Ndeke (41), Veronica Gunju wa Dar es salaam, Mbeya ni Faustine K. Kirusya (45) na kutoka Arusha ni Praygod Amos (39). Hillary Henry Nkindi (27) wa Dodoma, Aloyce Simba Maira (41) na Stella John Brand (26) toka Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages