Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan Omar Makame Ajitambulisha kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan Omar Makame Ajitambulisha kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na  Kamishna Mpya wa Polisi Zanzibar  Bwana Hamdan Omar Makame aliyefika Ofisini kwake katika jengo la Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mbweni kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif hapo Ofisini kwake Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa-Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages