JANUARY MAKAMBA"RAISI JAKAYA KIKWETE ASAINI HATI YA DHARURA(CERTIFICATE OF EMERGENCY) KUFANYIWA MAREKEBISHO YA KUONDOA TOZO YA KODI KWA LAINI ZA SIMU. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JANUARY MAKAMBA"RAISI JAKAYA KIKWETE ASAINI HATI YA DHARURA(CERTIFICATE OF EMERGENCY) KUFANYIWA MAREKEBISHO YA KUONDOA TOZO YA KODI KWA LAINI ZA SIMU.

m

Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alivyotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia hili suala.Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya na nzuri  kuhusu kodi hii.


Kupita ukurasa wake wa facebook alipost “Mheshimiwa Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu (SimCard Tax). Asante Mheshimiwa Rais.”.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages