GARI AINA YA TOYOTA HILUX LAGONGA TRENI YA ABIRIA MJINI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

GARI AINA YA TOYOTA HILUX LAGONGA TRENI YA ABIRIA MJINI DODOMA

Askari wa usalama barabarani wakiandika maelezo kaza baada ya kuyakusanya kwa mashuhuda walioishuhudia ajali ya Gari Dogo aina ya Toyota Hilux lililogonga treni ya abiria kwenye injini  katika barabara ya Dodoma Iringa.
Gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa limehalibika vibaya kutokana na kugonga treni ya abiria kwa mbele iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya ziwa. barabara ya iringa Dodoma


Wananchi wa manispaa ya Dodoma wakilishangaa Gari lililogonga Treni likiwa limehalibika vibaya baada ya injini yake kuharibiwa vibaya na huku Dereva akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.Source BOSS NGASA BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages