Wizara kuendelea kukabiliana na tatizo la ujangili nchini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wizara kuendelea kukabiliana na tatizo la ujangili nchini

IMG_9635Msemaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dorina makaya akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mikakati ya Wizara katika kukabiliana na tatizo la ujangili nchini ikiwa ni pamoja na kushirikisha wadau mbalimbali katika harakati hizo, wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa. IMG_9668Mwanaharakati wa kutetea haki za wanyama  nchini Mchungaji Clement aloyce akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa wananchi kushiriki katika uhifadhi wa wanyama pori, hasa tembo ambao wapo katika hatari kutokana na ujangili unaofanywa dhidi ya wanyama hao, wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Wanyama Pori Mkuu toka Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. John Muya.Picha na Eliphace Marwa-Maelezo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages