Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Uchukuzi (hawapo pichani) katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe.
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia-meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kushoto (meza kuu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.PICHA KUTOKA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)