Waziri Mkuu afungua Mkutano wa Kwanza wa Watalaamu wa Bodi ya Mipangomiji - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu afungua Mkutano wa Kwanza wa Watalaamu wa Bodi ya Mipangomiji

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Kwanza wa Watalaamu wa Bodi ya Mipangomiji kwenye hotel ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es salaam dNovemba 27, 2013. Kulia ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Raymond Mushi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiambatana na Wazri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna TIbaijuka baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Blue Parl , Ubungo jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Kwanza wa Watalaamu wa Bodi ya Mipangomiji Novemba 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages