WAFANYABIASHARA WAAMUA KUFUNGA MABANGO YA KUPINGA MASHINE ZA EFD - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAFANYABIASHARA WAAMUA KUFUNGA MABANGO YA KUPINGA MASHINE ZA EFD

Katika hali ya kuonyesha kwamba wafanyabiashara wa eneo la kariakoo hawataki wala kusikia kuhusu mashine za T.R.A,Wafanyabiashara hao wameamua kufunga mabango katikati ya mitaa yakiwa na ujumbe wa kupinga matumizi ya mashine hizo.

Leo ni siku ya pili kwa wafanyabiashara hao kugoma kufanya biashara,Swali la msingi je Serikali inaonaje hali hii ya wanainchi kukosa huduma?na pia huu ni mkoa wa nne sasa baada ya Mbeya,Morogoro na Mtwara.PICHA NA DJ SEK

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages