VIONGOZI MBALIMBALI WAZIDI KUWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU DK MVUNGI HUKO KIBAMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VIONGOZI MBALIMBALI WAZIDI KUWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU DK MVUNGI HUKO KIBAMBA

 Makamu wa Rais, Dkt. Gharib Bilal (katikati) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia.
 Proffesa Shivji akitia saini yake katika kitabu cha rambirambi katika msiba huo.
 Profesa Rutinwa kutoka UDSM akiongea na baadhi  ya watu waliofika msibani hapo......BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»
 Dk. Bilal akimpa mkono wa pole mke wa marehemu, Anna Mvungi.
Baadhi ya watu waliokuwepo katika msiba huo.

CHANZO: GPL
Do you like this post? Please link back to this article by copying one of the codes below.
URL Of Post:



HTML Link Code:

BB (forum) link code:



Post a Comment








No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages