Magari yakipita pembeni ya daraja kubwa linalojengwa katika eneo la Tabata Segerea ambapo linaunganisha maeneo ya Tabata Segerea na Kinyerezi likiendelea kujengwa, Daraja hilo likimalizika litakuwa limeondoa kero ya magari kutokupita wakati wa kipindi cha mvua ambapo awali kabla ya daraja hilo mvua ikinyesha basi magari madogo na hata makubwa hushindwa kupita kutokana na barabara hiyo muhimu kuwa mbovu na kujaa matope kitu ambacho hupelekea magari kukwama na mengine kupinduka
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)