SHABANI KAONEKA AJIFUA KWA AJILI YA SAID MBELWA November 10 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHABANI KAONEKA AJIFUA KWA AJILI YA SAID MBELWA November 10

Bondia Shabani Kaoneka kulia  akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Kaoneka anayejiandaa na mpambano wake na Said Mbelwa utakaofanyika November 10 jumapili hii katika ukumbi wa Paradise uliopo Pugu Kirumba Dar es salaam 

Bondia Shabani Kaoneka kushoto  akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Kaoneka anayejiandaa na mpambano wake na Said Mbelwa utakaofanyika November 10 jumapili hii katika ukumbi wa Paradise uliopo Pugu Kirumba Dar es salaam 
Bondia Shabani Kaoneka akitupo konde lililokwepwa na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayo enderea katika kambi Ilala  Amana Dar es salaam kaoneka anajiandaa na mpambano wake  na Saidi Mbelwa utakaofanyika jumapili hii katika ukumbi wa paradise Pugu Kirumba 
Bondia Shabani Kaoneka kulia  akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Kaoneka anayejiandaa na mpambano wake na Said Mbelwa utakaofanyika November 10 jumapili hii katika ukumbi wa Paradise uliopo Pugu Kirumba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages