ROBIN VAN PERSIE APELEKA MAUMIVU KWA TIMU YAKE YA ZAMANI NA KUIFANYA MAN U KUIBUKA MSHINDI, HUKU MAN CITY IKIKUBALI KICHAPO KUTOKA SUNDERLAND FC - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ROBIN VAN PERSIE APELEKA MAUMIVU KWA TIMU YAKE YA ZAMANI NA KUIFANYA MAN U KUIBUKA MSHINDI, HUKU MAN CITY IKIKUBALI KICHAPO KUTOKA SUNDERLAND FC

 Wachezaji wa Timu ya Man U wakiruka juu kwaajili ya kupiga kichwa mpira na kutua kichwani kwa Robin Van Persie aliyepiga kichwa ambacho kilizaa matunda na kuandika maumivu kwa Arsenal
Mashabiki wa Timu ya Man U wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Man U kuibuka Mshindi kwa kuwatungua arsenal goli 1 kwa 0 katika mchezo wa ligi kuu ya England uliomalizika muda mfupi uliopita
 Mchezaji wa Arsenal akijaribu kuokoa mpira kwa kichwa katika mchezo wa ligi kuu ya uingereza uliochezwa leo dhidi ya Man u na Man u kuibuka mshindi kwa goli 1 kwa 0
 Mchezaji wa Arsenal akidonda wakati wa harakati za kugombania mpira katika mchezo wa ligi kuu ya uingereza uliochezwa leo katika ya Man U dhidi ya Arsenal na kupelekea Man U kuibuka kinara kwa kuitungua Arsenal Goli 1 kwa 0 goli lililofungwa na Robin Van Persie katika Dakika ya 27 ya kipindi cha Kwanza cha Mchezo
 Mchezaji wa Man U Wayne rooney akijaribu kupiga shuti kali kuelekea langoni mwa Lango la Arsenal katika mchezo dhidi ya Man U na Arsenal na mpaka mwisho wa Mchezo Man U waibuka kinara kwa kuwacha Arsenal Goli 1 kwa 0 goli lililofungwa na Robin van Persie
 Hapiti mtu hapa.....
 Kikosi cha Man U kilichovaana na Arsenal leo katika Mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliomalizika muda mfupi uliopita kwa Man U kuibuka na Ushindi wa goli 1 kwa 0 dhidi ya Arsenal
 Manahodha wa timu zote mbili wakisalimiana kabla ya Mchezo kuanza Kushoto ni nahodha wa Man U Nemanja Vidic na kulia ni nahodha Thomas Vermaelen wa Arsenal
Wachezaji wa Man U Kushoto ni Wayne Rooney na Robin Van Persie wakishangilia goli alilofunga Robin Van Persie wakati wa mchezo wa ligi kuu uliomalizika muda mfupi uliopita.Picha kwa msaada wa tovuti ya Premier league

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages