Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM).PICHA NA IKULU 2013.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)