Rais Kikwete arejea Dar es Salaam awaapisha Makamisha wa Tume ya Utumishi wa Mahakama - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete arejea Dar es Salaam awaapisha Makamisha wa Tume ya Utumishi wa Mahakama

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Makamishna wawili wa Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo Mtitu Mapunda na Mhe.Georgina Mulebya.Pichani Makishna hao Dkt.Angelo Mtitu Mapunda na Mhe.Georgina Mulebya wakila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages