Rais Kikwete akutana na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa UN,Ikulu jijini Dar leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete akutana na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa UN,Ikulu jijini Dar leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu,Bibi Mary Robinson ,wakati akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa karika mazungumzo na Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu,Bibi Mary Robinson aliemtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages