RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA PAMOJA WA SADC NA ICGLR PRETORIA, AFRIKA KUSINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA PAMOJA WA SADC NA ICGLR PRETORIA, AFRIKA KUSINI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa Waterloof Air Force Base jijini Pretoria, Afrika ya Kusini Jumatatu Oktoba 4, 2013 tayari kuhudhuria  mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini.
 Meza kuu katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini
 Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakiwa katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2013.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages