PETER OKOYE WA P-SQUARE ALIVYOMEREMETA NDANI YA HARUSI YA KIMILA NA BI LOLA OMOTAYO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PETER OKOYE WA P-SQUARE ALIVYOMEREMETA NDANI YA HARUSI YA KIMILA NA BI LOLA OMOTAYO

Bwana harusi Peter Okoye akimvisha pete mkewe Lola Omotayo.

Bibi harusi Lola Omotayo......BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI»

Diamond Platnumz akifanya makamuzi katika harusi ya kimila ya Peter Okoye. Kushoto ni Emmanuel Adebayor akimpigia makofi.
Mwanamuziki kutoka P-Square, Peter Okoye (kushoto) akipozi na mwanasoka wa Tottenham na timu ya Taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor wakati wa harusi ya kimila ya mwanamuziki huyo jana Nigeria.
Harusi ya kimila ikiendelea.
Peter katika pozi na wapambe wake.(Picha zote na Nigeriafilms.com)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages