
Hii ni blogu ya magari ambapo kutakuwa na list pamoja na picha za magari yanayouzwa hapa Tanzania na Mawasiliano ya wauzaji pamoja na bei. Lengo ni kukupa urahisi wa kupata kile ukitakacho kwa urahisi na unafuu tu na bure kabisa
Pia Unaweza kututumia picha za magari unayouza au kuuza kupitia e-mail yetu hapo chini bure kabisa bila gharama yoyote na sisi tutaweka muda huo huo kupitia mtandao wetu huu wa Magari Tanzania
Tutumie sasa Picha za magari unayouza na sisi tutakuwekea bure kabisa
Tutembelee Kupitia link hii http://magaritanzania.blogspot.com/
E-mail yetu ni magaritanzaniablog@gmail.com





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)