Pambika na Samsung yaendeleo na jitihada za kuboresha maisha ya Watanzania - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Pambika na Samsung yaendeleo na jitihada za kuboresha maisha ya Watanzania

 Mratibu wa promosheni ya Pambika na Samsung Bw. Larence Andrew akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuchezesha droo ya pili ya bahati nasibu ya Pambika na Samsung, jumla ya washindi 15 walipatikana ambao ni wa siku ya Jumatatu hadi Jumapili wiki iliyopita. Wengine pembeni ni Bw. Masenye Chacha, Meneja Uhasibu Samsung Tanzania na Kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bw. Bakari Maggidy.
Mratibu wa promosheni ya Pambika na Samsung Bw. Lawrence Andrew akiongea na moja ya washindi wa promosheni ya Pambika na Samsung. Washindi wa droo ya pili waliopatikana na zawadi zao ni Johnson Choi (54) Muziki wa nyumbani - mkazi wa Arusha, Robert David Maye (39) Jokofu – mkazi Dsm, Erakissa Siginda (38) Samsung Galaxy Tab 10.1 – Mkazi wa Dsm, Laurent Madafu (26) Luninga ya LED Mkazi wa Arusha, Hemed Rashid Hemed (25) Deki ya DVD – Mkazi wa Dsm, Martin H. Mwashambwa (35) Jiko la kupashia chakula – Mkazi wa Dsm, Jamari Omary Marwa (34) Jiko la Kupashia Chakula, Abdallah Idd Ally wa Arusha (26) Mshindi wa deki ya DVD. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages